Katibu Mkuu Wizara ya Elimu Zanzibar na Mafunzo ya Amali Zanzibar Bw. Khamis Abdulla Said ametiliana Saini mkataba na Taasisi ya Zenj Center of Exellence in Tourisim (ZCET) juu ya Ufadhili wa Masomo kwa Wanafunzi wa miaka 16 hadi 20 kwa fani za Utalii huko ofisini kwake Mazizini Unguja.
Lengo la Mkataba huo ni kwa ajili ya kuwapatia Wanafunzi hao fursa ya kusoma huduma za Utalii na Ujuzi ambao utaweza kuwapatia ajira katika Sekta hiyo.
No comments:
Post a Comment