Habari za Punde

Rais Mhe. Samia amtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu Jenerali Mrisho Sarakikya nyumbani kwake Arusha

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana  na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu  Jenerali Mrisho S. Sarakikya  wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Mkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.