Habari za Punde

Waziri Mhe.Tax Atembelea Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda Jijini Arusha

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.) akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Mahakama ya Mauaji ya Kimbari ya Rwanda ambayo ilikuwa ikiendesha shughuli zake katika jengo la Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC) Jijini Arusha. Wengine pichani ni Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi AICC, Balozi Daniel Ole Njolay na kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa AICC, Bw. Ephraim Mafuru

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.