Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ajumuika na waumini wa dini ya kiislamu katrika Sala ya Ijumaa Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi  leo alipofika kujumuika  na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika swala ya Ijumaa. [Picha na Ikulu] 08/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa nasaha zake kwa Waislamu na Waumini wa Dini ya Kiislamu leo baada ya Ibada ya   Swala ya Ijumaa katika    Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/09/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Waumini wakiitikia Dua iliyoombwa leo  na Naibu Mufti wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Ngwali(wa nne kushoto)  baada ya Ibada ya   Swala ya Ijumaa katika    Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 08/09/2023
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Wazee wa Msikiti wa Salum Mmaka,Mitiulaya Wilaya ya Mjini  Mkoa wa Mjini Magharibi mara baada ya kumalizika kwa Ibada ya  Swala ya Ijumaa leo.[Picha  na Ikulu]  08/09/2023
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.