Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na washiriki wakati alipowasili katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) kwa ajili ya kushiriki Mkutano Mkubwa wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza kwenye mjadala wa masuala ya Kilimo na Vijana wakati wa Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC) Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2023.
Viongozi mbalimbali pamoja na wadau wa Kilimo wakiwa kwenye Mkutano wa Jukwaa la Mifumo ya Chakula Afrika (AGRF) unaofanyika katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC)tarehe 07 Septemba, 2023.
No comments:
Post a Comment