Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Ikulu Dar es Salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Burundi Mhe. Évariste Ndayishimiye ambaye ni Waziri wa Masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki, Vijana Michezo na Utamaduni Mhe. Balozi Gervais Abayeho (pamoja na ujumbe wake) mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 30 Oktoba, 2023.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.