Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan Azungumza na Waandishi wa Habari Lusaka Zambia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu ziara yake ya Kitaifa Lusaka nchini Zambia mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa nchi hiyo Mhe. Hakainde Hichilema.

Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusu Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan nchini humo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema kabla ya kuzungumza na Waandishi wa Habari katika Ikulu ya Lusaka nchini Zambia tarehe 25 Oktoba, 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.