Habari za Punde

Waziri Tabia azindua kamati ya Mapinduzi Cup

Waziri wa Habari, Vijana,Utamaduni na Michezo Tabia maulid Mwita akizungumza na wajumbe wa kamati ya kombe la Mapinduzi cup wakati akizindua rasmi kamati hiyo huko Ofisini kwake Migombani Mjini Unguja.
Mjumbe wa kamati ya kombe la Mapinduzi Cup  Khamis Mbeto Khamis akichangia neno wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo uliofanyika  Wizara ya Habari Migombani Mjini Unguja .
Mwenyekiti kamati ya kombe la  Mapinduzi Cup Mbarouk Mohammed Said akitoa neno la shukran wakati wa uzinduzi wa kamati hiyo uliyofanyika Wizara ya habari Migombani Mjini Unguja

PICHA NA FAUZIA MUSSA –MAELEZO ZANIZBAR
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.