Habari za Punde

Ziara ya Kitaifa ya Rais Samia Suluhu Hassan aandaliwa Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu wakati wa Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukipigwa mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi kwa ajili ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya India mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi kwa ajili ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa nchini humo.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu kabla ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) iliyopo New Delhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu kabla ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa katika Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) iliyopo New Delhi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Makamu wa Rais wa India Mhe. Jagdeep Dhankhar katika Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi kabla ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisaini Kitabu cha Wageni baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi kwa ajili ya kushiriki Dhifa ya Kitaifa nchini humo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu katika Ikulu ya India.



 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.