RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Rais wa Romania Mhe. Klaus Iohannis,
alipowasili Ikulu Jijini Zanzibarb kwa mazungumzo na kuandaliwa dhifa maalum iliyofanyika katika viwanja vya Zanzibar
,akiwa katika ziara yake ya Siku moja
Zanzibar leo 18-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis ,baada ya kuwasili Ikulu
kwa ajili ya mazungumzo yaliofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-11-2023 na kuhudhuria dhifa maalum iliyoandaliwa kwa
ajili yake na Rais wa Zanzibar katika
viwanja vya Ikulu, akiwa Zanzibar kwa ziara ya siku moja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Rais wa Romania
Mhe. Klaus Iohannis, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar, na kujumuika katika dhifa
maalum aliyomuandalia mgeni wake katika
viwanja vya Ikulu leo 18-11-2023, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Rais
wa Romania Mhe. Klaus Iohannis, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar, na kujumuika
katika dhifa maalum aliyomuandalia mgeni wake
katika viwanja vya Ikulu leo
18-11-2023, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wageni wake (kulia kwa Rais) Mke wa Rais wa
Romania Mama Carmen Iohannis na Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis, baada ya
kumaliza mazungumzo yao na Dhifa maalum aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu
Jijini Zanzibar, akiwa katika ziara yake ya Siku moja Zanzibar leo 18-11-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza
katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 18-11-2023, wakati wa dhifa
maalum aliyomuandalia mgeni wake Rais wa
Romania Mhe. Klaus Iohannis,baada ya kumaliza
mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu, akiwa Zanzibar kwa
ziara ya Siku moja
RAIS wa Romania Mhe.Klaus Iohannis
akizungumza katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla ya dhifa Maalum aliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,
iliyofanyika leo 18-11-2023, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku moja
Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Ali Mohamed Shein na (kushoto kwake) Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah, Spika wa Baraza la
Wawakilishi Zanzibar Mhe.Zuberi Ali Maulid na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Dkt.Said Mohammed Dimwa, wakihudhuria dhifa maalum iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kwa
mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis, katika viwanja vya Ikulu, akiwa Zanzibar kwa ziara ya Siku Moja
Zanzibar
MABALOZI Wadogo wanaofanyia Kazi zao Zanzibar wakihudhuria katika dhifa
maalum iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar , wakati wa
ziara ya siku moja ya Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis Zanzibar, iliyofanyika
leo 18-11-2023
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakihudhuria katika dhifa maalum iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa
ajili ya mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis, iliyofanyika katika
viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wa ziara yake Zabzibar kwa siku moja
iliyofanyika leo 18-11-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali
Mwinyi akiagana na mgeni wake Rais wa Romania Mhe.Klaus Iohannis na Mkewe baada
ya kumaliza mazungumzo yao na dhifa maalum aliyomuandalia katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar, wakati wa ziara yake ya siku moja Zanzibar leo
18-11-2023
No comments:
Post a Comment