Habari za Punde

Mkuu wa Wilaya Mpya wa Kusini Unguja Akabidhia Vitendea Kazi vya Ofisi

Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe.Cassian Gallos Nyimbo  akikabidhiwa vitendea Kazi na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Kusini Unguja Mhe. Rajab  Yussuf Mkasaba, makabidhi hayo ya ofisi yamefanyika katika Ofisi ya Mkuu wa Wilaya Kusini Unguja leo 20-11-2023.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.