Habari za Punde

Ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea tunzo kutoka kwa  Balozi wa India Nchini Mhe.Binaya Srikanta Pradhan (kulia)   wakati wa hafla ya ufunguzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharib
Watoto wa Skuli ya Mkunazini wakicheza Ngoma ya kihindi wakati wa hafla ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar iliyofanyika katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi  iliyofuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

Wazee wa Kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi walipokuwa wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar.

Viongozi mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanziba

Baadhi ya Wahadhiri wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) nchini India waliohudhuria katika ufunguzi rasmi wa Taasisi hiyo   Kampasi ya Zanzibar iliyofanyika leo katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi   na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa mgeni rasmi.

Viongozi mbali mbali wa Taasisi za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alipokuwa akitoa hutuba yake ya ufunguzi rasmi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar

Wanafunzi wa Taasisi ya Teknolojia ya Madras (IIT) Kampasi ya Zanzibar katika kijiji cha Fumba Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi wakiwa katika hafla ya ufunguzi rasmi wa taasisi hiyo iliyofuliwa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.