Habari za Punde

Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) larejesha Rasmi ushirikiano na Tanzania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Changamoto za Millenia (MCC) Bi. Alice Albright kwa njia ya video, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 13 Desemba, 2023.

MCC imeichagua tena Tanzania kuingia katika mpango wa kupata msaada wa Fedha zitakazolenga kusaidia mabadiliko ya Sera na Kitaasisi nchini ili iweze kufanikiwa kupata mpango wa Compact. 

 

Mara ya mwisho MCC iliwahi kutoa msaada wa Fedha wa Dola za Kimarekani milioni 698 mwaka 2008 ambazo zilitumika hadi 2013

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.