Habari za Punde

Fabrice Ngoma Aibuka Mchezaji Bora Mchezo wa Kombe la Mapinduzi Cup Dhidi ya Singida FG Uliofanyika Amaan Complex Zanzibar

 

Meneja wa Shirika la Bima la Taifa (NIC Insurance) Kanda ya Zanzibar Ndg.Khamis Msami akimkabidhi zwadi ya Mchezaji Bora kutika Timu ya Simba Fabrice Ngoma kwa kuibuka mshindi wa mchezo huo wa Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 dhidi ya Timu ya Singida FG. mchezo uliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Complex Zanzibarn 3-1-2023.Timu ya Simba imeshinda mchezo huo kwa bao 2-0.




No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.