Habari za Punde

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup 2023/2024 Simba Ikiongoza kwa Bao 2-0 Dhidi ya Timu ya Singida.FG, Mchezo Unaofanyikav Uwanja wa Amaan Complex Zanzibar

Mshabuliaji wa Timu ya Singida FG akimiliki mpra huku mabeki wa Timu ya Simba wakijiandaa kumzuoya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi mchezo unaofanyika usiku huu Uwanja wa Amaan Complex. Timu ya Simba ikiwa mbele kwa mabao mawili dhidi ya Singida.FG.

 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.