Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akipokea taarifa ya uandishi wa kitabu cha ‘Miaka 60 ya Ofisi ya Makamu wa Rais‘ kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa nne kushoto) ofisini kwake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Januari 05, 2024. Wengine alioambatana nao ni Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi wa kitabu hicho Bw. Rawson Yonazi (wa pili kushoto), Makamu Mwenyekiti Dkt. Harrison Mwakyembe (wa tatu kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano – Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu (wa kwanza kushoto).

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi wa kitabu cha ‘Miaka 60 ya Ofisi ya Makamu wa Rais‘ Mhe. Harrison Mwakyembe baada ya kupokea taarifa ya uandishi wa kitabu hicho ofisini kwake Ikulu mkoani Dodoma Januari 05, 2024. Wengine wa pili kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga, Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi wa Kitabu Bw. Rawson Yonazi na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano – Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Hanifa Selengu.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na
Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi wa kitabu cha ‘Miaka 60 ya Ofisi ya Makamu wa
Rais‘ Bw. Rawson Yonazi (wa kwanza kulia) baada ya kupokea taarifa ya uandishi
wa kitabu hicho ofisini kwake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Januari 05, 2024.
Katikati ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga mara baada ya kumtembelea Ofisini kwake Ikulu Chamwino mkoani Dodoma na kuwasilisha taarifa ya uandishi wa kitabu cha ‘Miaka 60 ya Ofisi ya Makamu wa Rais‘, Januari 05, 2024.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika
picha ya pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga (wa
pili kulia), Mwenyekiti wa Kamati ya uandishi wa kitabu cha ‘Miaka 60 ya Ofisi
ya Makamu wa Rais‘ Bw. Rawson Yonazi, (kulia) Makamu Mwenyekiti Dkt. Harrison
Mwakyembe (wa pili kushoto) na Kaimu Mkurugenzi wa Muungano Ofisi ya Makamu wa Rais
Bi. Hanifa Selengu baada ya kamati hiyo kuwasilisha taarifa ya uandishi wa
kitabu hicho ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Chamwino mkoani Dodoma Januari
05, 2024.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment