Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akiangalia magome ya miti ambayo yamehifadhiwa katika Jengo la
Climate, Oslo Nchini Norway.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimsikiliza Mkuu wa Chuo Kikuu cha Oslo Profesa Svein Stølen
wakati akimuelezea kuhusu masuala ya Tabianchi katika Jengo la Climate, Oslo
Nchini Norway
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akiangalia Donge la Barafu na jinsi linavyoyeyuka kutokana na mabadiliko ya
Tabianchi mara baada ya kuwasili katika jengo la Climate House Jijini
Oslo Nchini Norway tarehe 14 Februari, 2024. Kushoto
ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Oslo Profesa Svein Stølen akiwa
pamoja na Mwanamfalme wa Haakon wa Norway.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akimsikiliza Mkuu wa Chuo Kikuu cha Oslo Profesa Svein Stølen
wakati akimuelezea Mnyama aina ya Dubu (Bear) katika jengo la Climate House
iliyopo Jijini Oslo Nchini Norway
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia
Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Kilimo na Usalama wa Chakula uliofanyika
katika Jengo
la Climate, Oslo Nchini Norway.
Wageni
mbalimbali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa kwenye mkutano wa Kilimo na
Usalama wa Chakula uliofanyika katika Jengo la
Climate, Oslo Nchini Norway
Wageni
mbalimbali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa kwenye mkutano wa Kilimo na
Usalama wa Chakula uliofanyika katika Jengo la
Climate, Oslo Nchini Norway tarehe 14
Februari, 2024.
No comments:
Post a Comment