RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Haki za Binadam Bi.Nada Al
Nashif alipofika Ikulu Jijini Zanzibar
kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 9-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia jambo wakati wa mazungumzo na
mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa Haki za Binadam Bi.Nada Al Nashif, alipofika
Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar leo 9-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Naibu Katibu Mkuu
wa Haki za Binadam Bi.Nada Al Nashif, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa
mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 9-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Naibu
Katibu Mkuu wa Haki za Binadam Bi.Nada Al Nashif, mazungumzo hayo yaliyofanyika
katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-3-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Naibu Katibu Mkuu wa
Haki za Binadam Bi.Nada Al Nashif, baada ya kumaliza mazungumzo yao
yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 9-3-2024
No comments:
Post a Comment