Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Mwinyi Ahufuria Hafla ya Iftar Iliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Oman Zanzibar Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman Anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi wakati akiwasili katika viwanja vya Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria hafla ya Iftar iliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Oman Zanzibar jana 4-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa wageni waalikwa baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftari maalum iliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Oman Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 4-4-2024

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, baada ya kumsalizika kwa Iftari maalum iliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Oman Zanzibar, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 4-4-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftari maalum iliyoandaliwa na Ubalozi Mdogo wa Oman Zanzibar, katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 4-4-2024.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.