MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Taifa Dkt.
Emmanuel J.Nchimbi, alipowasili katika viwanja vya Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya
ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo 19-5-2024
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)
Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM Taifa, kilichofanyika leo 19-5-2024 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya
CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

No comments:
Post a Comment