Habari za Punde

Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Mtendaji Mkuu wa Clean Cooking Alliance Jijini Paris

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Clean Cooking Alliance Bi. Dymphna Van der Lans Jijini Paris Ufaransa tarehe 13 Mei, 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Mei 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Clean Cooking Alliance Bi. Dymphna Van der Lans mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Jijini Paris Ufaransa tarehe 13 Mei, 2024. Rais Samia yupo nchini Ufaransa kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia kwa Afrika unaotarajiwa kufanyika tarehe 14 Mei 2024 ambapo pia atakuwa Mwenyetiki Mwenza katika Mkutano huo.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.