RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali
alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar kwa ajili ya Kufunguzi wa Kongamano la 6 la Usafiri wa
Anga la Jumuiya ya Afrika Mashariki lililofanyika leo 15-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalum na Afisa wa
Shirika la Ndege Tanzania Ndg.Ali Hassan Nassor, baada ya kutembelea banda
la maonesho la Shirika hilo wakati wa
ufunguzi wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,
linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 15-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa CEO wa Kampuni
ya Coastal Air Ndg.Basil Obeidat, wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6
la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki,kabla ya kulifungua Kongamani
hilo linalofanyika leo 15-5-2024,katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni
Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa Mahusiano wa ZAA Mulhat
Said Yussuf,akitowa maelezo ya michoro ya Ujenzi wa Uwanja Mpya wa Ndege Pemba,
wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya
Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mhandisi wa Tanroads Chawe
Kedrick wakati akitembelea maonesho ya Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde
Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Afisa wa KCAA ya Kenya Bi.Mercy
Mbaika,akitowa maelezo wakati akitemnbelea maonesho,kabla ya kulifungua
Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika
katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar leo 15-5-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la 6 la
Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo
15-5-2024
WASHIRIKI wa Kongamano la 6 la Usafiri wa Anga
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na
kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Verde Mtoni
Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na
Uchukuzi Zanzibar.Mhe.Dkt. Khalid Salum Mohammed wakifurahia jambo wakati
akiondoka katika viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar Wilaya ya Mjini
Unguja Jijini Zanzibar leo 15-5-2024, baada ya kulifungua Kongamano la 6 la
Usafiri wa Anga wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, linalofanyika katika ukumbi wa
Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.
No comments:
Post a Comment