Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Maaliwa Akijibu Maswali ya Papo kwa Papo Bungeni Jijini Dodoma

 

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisikiliza Swali kutoka kwa Mbunge wa Viti Maalum Hawa Mwaifunga, Wakati alipokuwa akijibu maswali ya Papo kwa Papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu Maswali ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali ya papo kwa papo Bungeni jijini Dodoma, Mei 2, 2024. ( Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.