Matukio
mbalimbali pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Camillus
Wambura akikabidhiwa uenyekiti wa
Shirikisho la Wakuu wa Majeshi ya Polisi kutoka nchi
za Kusini mwa Afrika (SARPCCO) kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
Zambia IGP Graphel Musamba ambaye amemaliza muda wake wa kuliongoza shirikisho
hilo.
Makabidhiano hayo ya uenyekiti wa SARPCCO yamefanyika Lusaka Zambia kupitia mkutano wa 29 wa shirikisho hilo unaofanyika nchini humo.

No comments:
Post a Comment