Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na
Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) kwenye Mkutano uliofanyika katika
Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea
(Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini
Seoul
Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli
ya JW Marriott Jijini Seoul
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea
(Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini
Seoul
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea
(Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini
Seoul
Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania
waishio Jamhuri ya Korea
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watoto
waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024.
Picha na Ikulu.
No comments:
Post a Comment