RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Viongozi wa Jumuiya za Chama
cha Mapinduzi (CCM) ukiongozwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania
(UWT) Bi.Suzan Peter Kunambi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2024


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa
katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Bi.Suzan
Peter Kunambi pamoja na ujumbe wake wa Viongozi wa Jumuiya za Chama cha Mapinduzi,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar,alipofika kwa
mazungumzo na kujitambulisha leo 26-6-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Katibu Mkuu wa Umoja wa
Wanawake Tanzania (UWT) Bi. Suzan Peter Kunambi na Ujumbe wake wa Viongozi wa
Jumuiya za CCM, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 26-6-2024
No comments:
Post a Comment