Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) akizungumza kabla ya kufungua Mkutano wa 15 wa Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Biashara (TNBC) akiongoza Kikao
cha Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la
Taifa la Biashara (TNBC) akiongoza Kikao
cha Baraza hilo Ikulu Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Mawaziri pamoja
na Makatibu Wakuu waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara
(TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Mawaziri pamoja
na Makatibu Wakuu waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara
(TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam
Baadhi ya Wakuu wa Mikoa waliohudhuria Mkutano wa 15 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 29 Julai, 2024.
No comments:
Post a Comment