RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akibeba jeneza likiwa na mwili wa Marehemu Hassan Omar (Mkele) mmoja wa Watanzania aliyebeba udongo wa Muungano Kati ya Zanzibar na Tanganyika, kabla
ya kuaza kwa Sala ya Maiti iliyofanyika katika Msikiti wa Kibweni Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja leo 28-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa Serikali,Wananchi
na WA Vyama vya Siasa,katika Sala ya Maiti, kuusalia mwili wa marehemu Hassan
Omar (Mkele) iliyofanyika katika Msikiti wa Kibweni Wilaya ya Magharibi “A”
Unguja, iliyongozwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi
na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman
Abdulla na (kulia kwa Rais) Dkt. Maalim Siasa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM
Zanzibar Alhajj.Dkt. Mohammed Said Dimwa
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi wa Serikali,Viongozi
wa vyama vya Siasa na Wananchi, katika
kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Omar (Mkele) mmoja wa Watanzania
waliobeba Udongo wa Muungano, dua hiyo ikisomwa na Sheikh. Omar Sharif, baada
ya kumalizika kwa Sala ya Maiti iliyofanyika katika Masikiti wa Kibweni kwa
Raza Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 28-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiweka udongo katika kaburi likiwa na
mwili wa marehemu Hassan Omar (Mkele) mmoja wa Watanzania waliochanganya Udongo
wa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar, wakati wa maziko hayo yaliyofanyika
katika makaburi ya Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 28-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Viongozi mbalimbali wa
Serikali na Wananchi katika kuitikia dua ya kumuombea Marehemu Hassan Omar
(Mkele) mmoja wa Watanzania waliobeba udongo wa Muungano kati ya Zanzibar na
Tanganyika, katika miaka ya Siti, ikisomwa na Maalim Dkt.Siasa, baada ya
kumalizika kwa maziko hayo yaliyofanyika katika Makaburi ya Kibweni Wilaya ya
Magharibi “A” Unguja leo 28-8-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akzungumza na kutowa mkono wa pole kwa
familia ya Marehemu Hassan Omar (Mkele) mmoja wa Watanzania waliobeba udongo wa
Muungano kati ya Zanzibar na Tanganyika, katika miaka ya Siti,alipofika
nyumbani kwa marehemu Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo 28-8-2024,
kutoa mkono wa pole kwa familia
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na familia ya Marehemu Hassan
Omar (Mkele) mmoja wa Watanzania waliobeba udongo wa Muungano kati ya Zanzibar
na Tanganyika, ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Mahmoud Mussa
Wadi (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu
Zanzibar Sheikh. Khalid Ali Mfaume, baada ya kumaliza kutowa mkono wa pole kwa
marehemu alipofika nyumbani kwake Kibweni Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo
28-8-2024
No comments:
Post a Comment