Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.,Dkt. Samia Suluhu Hassan Akihutubia katika Mkutano Unaozungumzia Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki na kuhutubia katika Mkutano wa Ngazi ya Juu unaohusu Ukuaji wa Viwanda na Kilimo cha Kisasa Afrika kwenye Jukwaa la Ushirikiano kati ya China na Afrika (FOCAC) uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha China mjini Beijing, tarehe 5 Septemba, 2024.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.