WANAFUNZI wa Skuli mbalimbali Zanzibar wakiwa
katika maandamano ya kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar wakiwa
na picha za Marais wa Awamu mbalimbali wa Zanzibar, maadhimisho hayo
yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini Zanzibar leo 23-9-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wanafunzi wa Skuli
mbalimbali za Unguja na Pemba wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya
Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Copmlex
Jijini Zanzibar leo 23-9-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa.
WANAFUNZI wa Skuli za Mahitaji Maalumu Zanzibar wakishiriki
katika Maandamano ya Kuadhimisha Miaka 60 ya Elimu Bila Malipo Zanzibar,
maadhimisho hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Jijini
Zanzibar leo 23-9-2024
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wanafunzi wa Skuli
mbalimbali za Unguja na Pemba wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya
Elimu Bila Malipo Zanzibar, zilizofanyika katika Uwanja wa New Amaan Copmlex
Jijini Zanzibar leo 23-9-2024 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa.
No comments:
Post a Comment