Habari za Punde

Majaliwa ashuhudia mazoezi ya Taifa Stars

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mazoezi ya timu ya Taifa ya  mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS)  kwenye uwanja wa  TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo Miwili dhidi ya Congo DRC kwa ajilli ya kufuzu michuano ya AFCON 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFA STARS) wakifanya mazoezi mbele ya Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  kwenye uwanja wa TRA, Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo Miwili dhidi ya Congo DRC kwa ajilli ya kufuzu michuano ya AFCON 2025. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi na  wachezaji wa timu ya Taifa ya mpira wa miguu ya Tanzania (TAIFAR STARS)  kwenye uwanja wa mazoezi wa TRA , Mivinjeni jijini Dar es salaam, Oktoba 7, 2024. Taifa Stars inatarajiwa kucheza michezo Miwili dhidi ya Congo DRC kwa ajilli ya kufuzu michuano ya AFCON 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.