Habari za Punde

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan awasili mkoani Mwanza kwa ajili ya kuhitimisha kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na Wiki ya Vijana

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Pasiansi Wilayani Ilemela mkoani Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Pasiansi, Ilemela mara baada ya kuwasili Mkoani Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiangalia vikundi vya ngoma za asili na kwaya mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Mwanza tarehe 12 Oktoba, 2024. Rais Dkt. Samia anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa kuhitimisha kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru pamoja na wiki ya Vijana mkoani humo.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.