MUONEKANO wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni
Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya
Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya
Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na na Viongozi mbalimbali, alipowasili
katika eneo la Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya
ufunguzi wa Soko hilo baada ya kukamilika ujenzi wake, , ikiwa ni Wiki ya
kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi
wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane
Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo
uliyofanyika jana 27-10-2024 na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, na (kushoto ) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na Idara Maalumu za SMZ Mhe. Masoud Ali
Mohammed, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi
kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa
Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar

Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikata utepe kulifungua Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya
Magharibi “B” Unguja, ufunguzi huo uliyofanyika jana 27-10-2024 na (kushoto kwa
Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla, na (kulia
kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali za Mitaa na
Idara Maalumu za SMZ Mhe. Masoud Ali Mohammed, ikiwa ni Wiki ya kumpongeza Rais
wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi
cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akinunua bidhaa katika Soko la Jumbi Wilaya
ya Magharibi “B”Unguja, kwa mfanyabiashara Jamila Hamad Said, baada ya kulifungua jana 27-10-2024,ikiwa
ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa
mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali
ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mfanyabiashara wa Soko la
Jumbi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja.Sabrina Abdallah Ali,baada ya kulifungua
jana 27-10-2024,ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk.
Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne
ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Soko la Jumbi Wilaya ya Magharibi
“B”Unguja,baada ya kulifungua jana 27-10-2024,ikiwa ni Wiki maadhimisho ya
kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi
wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane
Zanzibar.
KATIBU Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa, Serikali na Mitaa na Idara Maalum za SMZ akizungumza na kuwasalimia Wananbchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
MKUU wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana akizungumza na kuwasalimia Wananchi wakati wa hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na Wananchi kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la
Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa
ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa
mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali
ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la

BAADHI ya Viongozi wa CCM na Wageni waalikwa
katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi Wilaya ya Magharibi”B” Unguja,
wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia na kulifungua Soko hilo, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza
Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika
kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Soko Jipya la
Jumbi Wilaya ya Magharibi “ B” Unguja, baada ya kukamilika ujenzi wake, ikiwa
ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa
mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali
ya Awamu ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja na Wafanyabishara wa Soko la Jumbi wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi, uliyofanyika jana
27-10-2024, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk.
Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne
ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya
Wafanyabishara wa Soko la Jumbi
na Wananchi wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla
ya ufunguzi wa Soko hilo uliyofanyika jana 27-10-2024, ikiwa ni Wiki
maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio
ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne ya Uongozi wa Serikali ya Awamu
ya Nane Zanzibar

ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja na Wafanyabishara wa Soko la Jumbi wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi, uliyofanyika jana
27-10-2024, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk.
Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne
ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.
BAADHI ya Wafanyakazi wa Wilaya ya Magharibi “B”
Unguja na Wafanyabishara wa Soko la Jumbi wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia katika hafla ya ufunguzi wa Soko Jipya la Jumbi, uliyofanyika jana
27-10-2024, ikiwa ni Wiki maadhimisho ya kumpongeza Rais wa Zanzibar Dk.
Hussein Ali Mwinyi kwa mafanikio ya Uongozi wake katika kipindi cha Miaka Minne
ya Uongozi wa Serikali ya Awamu ya Nane Zanzibar.

No comments:
Post a Comment