Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria
uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la
Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya ujenzi
wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe
25 Novemba, 2024.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi
mara baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Msikiti wa Al Ghaith uliopo
eneo la Kilakala Flats, Mkoani Morogoro tarehe 25 Novemba, 2024. Rais Dkt.
Samia amewasisitiza waislamu kujenga madrasa nyingi zaidi ili kuwapatia watoto
mafunzo ya kiimani ambayo yatawawezesha kuwa na jamii zenye maadili.
No comments:
Post a Comment