RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini hati ya makubaliano ya Mpango wa
Maboresho ya Utoaji wa Huduma Bandari ya Zanzibar (Zanzibar Port Improvement)
hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-2024.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Utiaji wa Saini
wa Mpango wa Maboresho ya Utoaji wa Huduma Bandari ya Zanzibar (Zanzibar Port
Improvement) uliofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo
22-11-2024
MAKAMU wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed
Suleiman Abdulla na (kulia kwake) Muwakilishi wa Taasisi ya Tony Blair Sydney
Chibbabbuka na viongozi wa Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akihutubia wakati wa hafla ya utiaji wa Mpango wa Maboresho ya Huduma za
Bandari Zanzibar (Zanzibar Port Improvement) uliofanyika katika viwanja vya
Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-202
WAGENI Waalikwa na Viongozi mbalimbali wa
Taasisi za Serikali wakifuatilia hafla ya utiaji wa Saini wa Mpango wa
Maboresho ya Utoaji wa Huduma wa Bandari ya Zanzibar (Zanzibar Port
Improvement) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-2024
WAGENI Waalikwa na Viongozi mbalimbali wa
Taasisi za Serikali wakifuatilia hafla ya utiaji wa Saini wa Mpango wa
Maboresho ya Utoaji wa Huduma wa Bandari ya Zanzibar (Zanzibar Port
Improvement) wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla hiyo
iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 22-11-2024.
No comments:
Post a Comment