Habari za Punde

WAZIRI CHANA AIPA TANO TTB KUTANGAZA VIVUTIO VYA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza na menejimenti ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) alipofanya ziara ya kikazikatika  Ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania zilizopo  jijini Dar es Salaam leo Novemba 22,2024.
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) akizungumza na menejimenti ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) alipofanya ziara ya kikazi katika Ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania zilizopo  jijini Dar es Salaam leo Novemba 22,2024.
 

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb) (Katikati) katika picha ya pamoja na menejimenti ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) mara baada ya ziara ya kikazi katika Ofisi za Bodi ya Utalii Tanzania zilizopo  jijini Dar es Salaam leo Novemba 22,2024. Wengine pichani ni Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB), Bw. Ephraim Mafuru (wa pili kutoka kulia), Mkurugenzi wa Idara ya Utalii, Wizara ya Maliasili na Utalii, Dkt. Thereza Mugobi na menejimenti ya TTB(kushoto) na Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Wizara ya Maliasili na Utalii, Bw. Bernard Marcelline(wa pili kutoka kushoto).

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.