RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Naibu Imamu Mkuu wa
Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar. Sheikh.
Salum Hemed Salum, alipowasili katika viwanja vya msikiti malindi kwa ajili ya
Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo 24-1-2025.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa
Dini ya Kiislamu, baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika leo
24-1-2025, katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Waumini wa Dini ya
Kiislamu katika kuitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh
Omar Kabi(kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika
katika Msikiti Mkuu wa Ijumaa Malindi Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-1-2025 na
(kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na
Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.
No comments:
Post a Comment