MUNEKANO wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar
ambalo limeweka Jiwe la Msingi la ujenzi wake leo 6-1-2025 na Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, ikiwa ni
Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdalla, alipowasili katika viwanja vya Tume ya Uchaguzi
Zanzibar Maisara Wilaya ya Mjini Unguja, kwa ajili ya kuweka Jiwe la Msingi la
ujenzi wa Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar, ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa
Majengo Zanzibar (ZBA) Ashura Simai akitowa maelezo ya michoro ya picha ya
Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi
huo, na (kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed
Suleiman Abdulla, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mshauri Elekezi wa Wakala wa Majengo
Zanzibar (ZBA) Ashura Simai akitowa maelezo ya michoro ya picha ya Jengo la
Tume ya Uchaguzi Zanzibar, kabla ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi huo, na
(kushoto kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman
Abdulla na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa
Kitwana Mustafa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi
Mhandisi Zena Ahmed Said,ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la
Ujenzi wa Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara Wilaya ya Mjini Unguja
leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi katika hafla ya
uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi Jengo la Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Maisara
Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za
Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
WANANCHI wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
wakifuatilia hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi za Tume
Maisara Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar leo 6-1-2025,wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi
(hayupo pichani) akizungumza na Wananchi katika viwanja vya Tume Maisara leo
6-1-2025, ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 61 ya Mapinduzi
Matukufu ya Zanzibar
BAADHI ya Mawaziri na Wakuu wa Taasisi za
Serikali wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia baada ya kuweka
Jiwe la Msingi la ujenzi wa Ofisi ya Tume ya Uchaguzi Zanzibar maisara Wilaya
ya Mjini Unguja uliyofanyika leo 6-1-2025,ikiwa ni Shamrashamra za Maadhimisho
ya Miaka 61 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
No comments:
Post a Comment