RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Msanii maarufu
wa muziki wa Bongoflava Tanzania (Mbosso)
Mbwana Yusuph Kirungi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kumkabidhi
Albamu ya nyimbo maalumu ya kumpongeza kwa juhudi zake katika kuleta maendeleo kwa
Wananchi wa Zanzibar, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar leo 17-2-2025
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Msanii maarufu wa muziki Tanzania
(Mbosso) Mbwana Yusuph Kirungi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa
Ikulu Jijini Zanzibar leo 17-2-2025 na kumkabidhi nyimbo maalumu ya kumpongeza,
mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Albam ya nyimbo maalumu ya
kumpongeza kwa juhudi zake za kuleta maendelea Zanzibar, akikabidhiwa na Msanii
maarufu wa muziki wa Bongoflava Tanzania (MBOSSO) Mbwana Yusuph Kirungi, baada
ya kumaliza mazungumzo na msanii huyo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu
Jijini Zanzibar leo 17-2-2025
No comments:
Post a Comment