Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Ujumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya Nje ya Nchi hiyo Mhe. Thérèse Kayikwamba Wagner, Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya
Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Félix Antoine Tshisekedi ambaye ni Waziri wa
Mambo ya Nje ya Nchi hiyo Mhe. Thérèse Kayikwamba Wagner, Ikulu Jijini Dar es
Salaam tarehe 26 Machi, 2025.
No comments:
Post a Comment