RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akimkaribisha tende Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh. Saleh Omar Kabi kwa ajili ya
kufungulia saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati wa hafla ya Iftar iliyoandaliwa
katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar,iliyofanyika 12-3-2025.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Viongozi na Wananchi wa Makundi Maalumu wa Mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja,katika Iftaar aliyowaandalia katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa
Abdulwakil Kikwajini Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar, iliyofanyika 12-3-2025.
MTOTO
Samir Idrisa akipata futari maalumu iliyoandiliwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi kwa Wananchi wa
Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wa Makundi Maalumu iliyofanyika katika ukumbi wa
Sheikh.Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika jana
12-3-2025.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, baada ya
kumalizika kwa hafla ya Iftaar aliyowaandaliwa Wananchi wa Mkoa
huo,iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya
Mjini Unguja Jijini Zanzibar 12-3-2025.
BAADHI
ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar iliyoandaliwa
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika jana 12-3-2025.
BAADHI
ya Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)
akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar iliyoandaliwa
Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja iliyofanyika 12-3-2025.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akijumuika na Viongozi na Wananchi katika kuitikia Dua ikisomwa na Mifti Mkuu
wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) baada ya kumalizika kwa
hafla ya Iftaar, iliyofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil
Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwa Rais) Waziri wa
Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun
Ali Suleiman, iliyofanyika 12-3-2025.
RAIS
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi
akikabidhiwa zawadi Maalumu na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja
Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar
iliyoandaliwa kwa Wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, iliyofanyika
katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja
Jijini Zanzibar 12-3-2025.
No comments:
Post a Comment