Habari za Punde

Matukio ya Picha Kutoka Bungeni Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Ujenzi, Abdallah Ulega, Bungeni 15 Aprili, 2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum, Neema Lugangira, Bungeni 15 Aprili, 2025
 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri Bungeni 15 Aprili, 2025. Kutoka kushoto ni Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe na Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.