WAGOMBEA wa Chama Cha Mapinduzi Jimbo la
Mwanakwerekwe Zanzibar wakiwasili katika viwanja vya Ofisi za Wilaya Dimani
Kichama Kiembesamaki, Wilaya ya Magharibi “B”Unguja kwa ajili ya kujianda
kuelekea katika Ofisi za Uchaguzi Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kuchukua Fomu
za Uteuzi kugombea Uwakilishi na Udiwani katika Jimbo ka Mwanakwerekwe
Zanzibar.
MGOMBEA Uwakilishi Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar kwa
tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe.Mohammed Manzi Haji (katikati) akiwa na
Wagombea wezake wa Jimbo la Mwanakwerekwe Zanzibar kwa Nafasi ya Ubunge na Udiwani
wa CCM, wakiwa katika viwanja vya Afisi ya Wilaya ya Dimani Kichama Kiembesamaki
Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakijiandaa kuelekea Ofisi za Uchaguzi Wilaya
ya Magharibi “B” Mazizini kwa ajili ya kuchukua Fomu za Uteuzi Kugombea nafasi
ya Uwakilishi na Udiwani.

No comments:
Post a Comment