Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan katika muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa CCM
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Makambako katika muendelezo wa Kampeni
za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho mkoani Njombe tarehe 06 Septemba, 2025.
0 Comments