Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu
Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa Iringa katika muendelezo wa
Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama hicho zilizofanyika katika uwanja wa Samora
mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
Sehemu ya Wananchi wa Iringa waliohudhuria
mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM)
mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.

Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) uliofanyika katika uwanja wa Samora mkoani Iringa tarehe 07 Septemba, 2025.
No comments:
Post a Comment