Habari za Punde

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa Amezindua Kampeni za Ubunge Jimbo la Mchinga

Baadhi ya wananchi wakifuatilia uzunduzi wa kampeni ya ubunge wa jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi. Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni hizo, Septembea 07, 2025.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Mgombea ubunge jimbo la Mchinga Salma Kikwete ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2025-2030 wakati wa uzinduzi wa kampeni za Ubunge jimbo hilo zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi Septembea 07, 2025.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Lindi Alhaji Hassan Jarufu, Mgombea ubunge jimbo la Mchinga Salma Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025.
 Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Lindi Alhaji Hassan Jarufu, Mgombea ubunge jimbo la Mchinga Salma Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Ubunge jimbo la Mtama Nape Nnauye, wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025 
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi mkoa wa Lindi Alhaji Hassan Jarufu, Mgombea ubunge jimbo la Mchinga Salma Kikwete pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mgombea Ubunge jimbo la Mtama Nape Nnauye, wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025 .
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na mgombea ubunge jimbo la mchinga Salma Kikwete, Mwenyekiti wa CCM Lindi mjini Bakari Bwatamu na Mgombea Ubunge jimbo la Mtama Nape Nnauye, wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025.
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wakati alipozindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi, Septembea 07, 2025.



Baadhi ya wananchi wakifuatilia uzunduzi wa kampeni ya ubunge wa jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi. Mheshimiwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni hizo, Septembea 07, 2025.


Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Kikwete baada ya kuzindua kampeni za Ubunge jimbo la Mchinga zilizofanyika katika kijiji cha Rutamba mkoani Lindi Septembea 07, 2025.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.