Shamrashamra za Wananchi wakati wa hafla ya kuwashindikiza wagombea Uwakilishi na Udiwani wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa Majimbo Matano ya Wilaya ya Dimani Kichama.
Wagombea Uwakilishi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzu (CCM) wakiwa na fomu zao za Uteuzi wa kugombea Uwakilishi katika Majimbo yao, baada ya kukabidhiwa na Maofisa wa Uchaguzi wa Wilaya ya Magharibi "B" Unguja, hafla hiyo iliyofanyika katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Mazizini Jijini Zanzibar. kutoka (kushoto) Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mwanakwerekwe Mhe. Mohammed Manzi Haji, Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Mhe.Abdullah.Kambotwe,Mgombea Uwakilishi Jimbo la Dimani Mhe.Mwanaasha Khamis Juma, Mgombea Uwakilishi Jimbo la Pangawe Mhe.Ali Suleiman Amier na Mgombea Uwakilishi Jimbo la Fuoni Mhe.Juma Thabit Kaponda.

No comments:
Post a Comment