Wagombea Uwakilishi kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya Mjini Unguja, wakimsikiliza Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi wakati akitowa maelezo kabla ya kuwakabidhi Fomu za Uteuzi wa Kongombea Uwakilishi katika Majimbo yao (kutoka kulia) Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe. Seif Kombo Pandu, Mgombea Uwakilishi Jimbo la Mapindi Mhe.Abdulhan Ismail Zuberi, Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kwahani Mhe. Mohammed Sijaamini Mohammed na Mgombea Uwakilshi Jimbo la Jangombe Mhe. Ali Gulam.
KESI YA LISSU YAAHIRISHWA HADI KIKAO KINGINE
-
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imeahirisha kesi ya Mwenyekiti wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) hadi itakapopangiwa kikao
kingine (s...
8 hours ago









No comments:
Post a Comment