Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amekutana na Dkt.Kashililla

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi  ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania  (TIRA,) Dkt.  Thomas Kashililla, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 8, 2025
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi  ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA), Dkt.  Thomas Kashililla, ofisini kwa Waziri Mkuu Mlimwa jijini Dodoma, Septemba 8, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.