Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akishiriki katika mbio za hisani za Saifee Cardiac Marathon, zilizofanyika katika viwanja vya Green Park Oysterbay, jijini Dar es Salaam Septemba 28,2025.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akivalishwa medali ya ushiriki na Mkurugenzi wa Uendeshaji Hospitali ya Saifee Dk. Abbasali Essajee katika mbio za hisani za Saifee Cardiac Marathon, zilizofanyika kwenye viwanja vya Green Park Oysterbay, jijini Dar es Salaam Septemba 28, 2025.
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akimkabidhi hundi ya shilingi 750,000, mshindi wa kilomita 21 wanawake, Vaileth Adam, kwenye mbio za hisani za Saifee Cardiac Marathon, zilizofanyika katika viwanja vya Green Park Oysterbay, jijini Dar es Salaam Septemba 28, 2025
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akizungumza baada ya kushiriki katika mbio za hisani za Saifee Cardiac Marathon, zilizofanyika katika viwanja vya Green Park Oysterbay, jijini Dar es Salaam Septemba 28, 2025
No comments:
Post a Comment